Course image KISWAHILI KATIKA SEKTA TOFAUTI ZA KAZI
Cross-cutting modules

Moduli hii inaeleza ujuzi na uwezo vinavyostahiliwa ili mwanafunzi aweze:

• Kutumia Kiswahili kwa kusikiliza, kusoma, kuzungumza na kuandika katika sekta tofauti za kazi

• Kutumia istilahi/rejista kimazungumzo kwa kuhudumia wateja na wageni wa kampuni

• Kutumia istilahi/rejista zitumikazo kimaandishi katika idara mbalimbali za kazi

• Kutumia rejista za utatuzi wa migogoro kazini