Course image KISWAHILI MAHALI PA KAZI
Hospitality
Maelezo ya Malengo
Moduli hii inaeleza maarifa na uwezo vinavyostahiliwa ili mwanafunzi aweze kutumia Kiswahili katika shughuli za kikazi. Katika moduli hii, mwanafunzi atawasiliana na mteja kwakutumia kiswahili sanifu katika muktadha wa kazi, vile vile atajadiliana kazini kupitia midahalo na mijadala katika mawasiliano ya kikazi, pia ataweza kuandaa na kufanya hati za kikazi kama vile tangazo, hotuba, memo, barua pepe nakumbukumbu za muktano. Mwishonimwa moduli hii, kila mwanafunzi atakuwa na uwezo wa Kutumia Kiswahili Fasaha Mahali pa Kazi.