Mwishoni mwa moduli hii mwanafunzi atakuwa na uwezo wa:

1.Kutumia herufi za Kiswahili katika maandishi na mazungumzo.

2. Kutumia msamiati wa Kiswahili katika maandishi na mazungumzo kimsingi.

3. Kutumia aina za maneno ya lugha ya kiswahli kimazungumzo na kimaandishi.