Moduli hii inaeleza ujuzi na uwezo vinavyostahiliwa ili mwanafunzi aweze :
Ø Kutumia kiswahili nafuu kwa kusikiliza, kusoma, kuzungumza na kuandika katika shughuli za kazi;
Ø Kutumia herufi kimaandishi na kimazungumzo kwa kuzingatia lafudhi na shada za kiwasihili;
Ø Kuwasilisha habari/ujumbe kimazungumzo na kimaaandishi kwa kuzingatia matumizi ya aina za maneno na upatanisho wa kisarufi.

- Teacher: Ernest MUSAFIRI