Kitengo

Vigezo vya utendaji

1. Kutumia herufi za Kiswahili katika maandishi na mazungumzo.

 

 

1.Kutamka vizuri herufi pamoja na alfabeti za kiswahili kwa kuzingatia lafudhi.
2.Kusoma vizuri maneno anayoandikiwa kwa kufuata mwambatano wa herufi za Kiswahili.
3.Kujieleza vizuri katika Kiswahili kwa Kuzingatia Hali katika Kiswahili.

2. Kutumia msamiati wa Kiswahili katika maandishi na mazungumzo kimsingi.

1.Kueleza vizuri mambo ya jikoni kwa kutumia msamiati unaofaa
2.Kutumia vema hesabu kimazungumzo na kimaandishi katika lugha ya kiswahili.
3.Kutumia vizuri msamiati wa mazingira mbalimbali kwa kuzingatia matumizi bora ya Kiswahili.

3. Kutumia aina za maneno ya lugha ya kiswahli kimazungumzo na kimaandishi.

 

1.Kutunga tungo sahihi kwa kutumia aina mbali mbali za maneno kimazungumzo na kimaandishi.
2.Kuunda vizuri maneno ya Kiswahili kulingana na aina zake.
3.Kujenga sentensi  vizuri kwa kufuata utaratibu wa   aina za maneno ya Kiswahili.