Enrolment options
Course image KISWAHILI WASTANI
Cross-cutting modules
Moduli hii inaeleza ujuzi na uwezo vinavyostahiliwa ili mwanafunzi aweze:
• Kutumia Kiswahili wastani kwa kusikiliza, kusoma, kuzungumza na kuandika katika shughuli za
kazi;
• Kutumia herufi kimaandishi na kimazungumzo kwa kuzingatia lafudhi na shada za Kiswahili;
• Kuwasilisha habari/ujumbe kimazungumzo na kimaandishi kwa kuzingatia matumizi ya
nyakati za Kiswahili;
• Kuwasilisha habari/ujumbe kimazungumzo na kimaandishi kwa kuzingatia matumizi ya aina
za maneno ya Kiswahili