Enrolment options
Course image MAWASILIANO MBALIMBALI YA KIOFISI KATIKA KISWAHILI
Cross-cutting modules
Moduli hii inaeleza ujuzi na uwezo vinavyostahiliwa ili mwanafunzi aweze:
Kujadili mawasiliano mbalimbali ya kiofisi kupitia njia ya kuzungumza na kuandika katika shughuli za
kazi.
Kutunga kimaandishi na kimazungumzo hati tofauti kwa kuzingatia kanuni na mitindo ya lugha ya
Kiswahili ifaavyo.
Kuchambua kimazungumzo na kimaandishi hati za mawasiliano mbalimbali za kiofisi.
Kuwasilisha hati mbalimbali mahali zinapotakiwa