Enrolment options

Course image Kiswahili Wastani Kazini
Mechnical Engineering

Moduli hii inaeleza maarifa na uwezo vinavyostahiliwa ili mwanafunzi aweze kutumia Kiswahili wastani katika shughuli za kikazi. Katika moduli hii, mwanafunzi atatumia msamiati na sarufi vya Kiswahili katika maandishi na mazungumzo kimsingi, pia atatumia istilahi mahususi katika mawasiliano ya kikazi. Mwishoni mwa moduli hii, kila mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kutumia Kiswahili wasitani kazini.

Guests cannot access this course. Please log in.